Klabu ya Inter Milan imetajwa kuhitaji huduma ya kiungo mshambuliaji wa Manchester united Hernkian Mkhtaryan na watapata ushindani mkubwa kutoka kwa klabu yake ya zamani Borrusia Dortmund.
Kocha José Mourinho alisema kuwa mchezaji huyo ameachwa kutokana na kutokuwa na furaha na uwezo wachezaji wenzako .
Katika kipigo cha Chelsea dimbani Stamford Bridge novemba 5 ajawai kuanza mchezo wowote wa ligi kuu uingereza .
Licha ya kutokea benchi kipindi cha pili katika suluhu ya 2-2 dhidi ya Burnley.
Klabu ya Inter Milan pia ina mpango wa kupata huduma ya Gerrald Deolofel wa Barcelona pamoja na Javier Pastore wa Paris SG.
Makala na Prosper Barthalomew.
simu:/+255716243875.
barua pepe (EMAIL): barthaprosper@gmail.com.
Maoni