Matokeo ya droo ya ligi ya mabigwa yametoka jaribu kuangalia ipi ni michezo mikubwa
Juve v Spurs 🏴
Basel v Man City 🏴
Porto v Liverpool 🏴
Sevilla v Man Utd 🏴
R Madrid v Paris SG .
Shakhtar v Roma
Chelsea v Barcelona
Besiktas v Bayern
kabda ya uchambuzi wa michezo hii toa maoni yako ukituambia upi ni mchezo mkubwa
Maoni