MATOKEO: NAPOLI YAKANDAMIZA MTU ,ARSENAL NUSU FAINALI ,MANCHESTER CITY NAYO YAPITA

Matokeo ya michezo mbalimbali barani ulaya :

Napoli 1-0 Udinese Insigne 71' - kombe la Italia.

Arsenal 1-0 West ham Danny Welbeck 42' - Arsenal imefuzu nusu
fainali kwa mara ya kwanza tamgu mwaka 2010-11. Na katika mchezo huu wa kukata na shoka kulikuwa na shuti moja tu lilolenga goli pande zote mbili yaani ikiwa ndo goli.

Schalke 04 1-0 Cologne   Max Meyer 64' Schalke wanaenda kwenye robo fainali huku wakiwa wajapoteza mchezo wowote katika mechi 13 za hivi karibuni ikiwa ni mara tangia novemba 2006

Leicester city   1 -1  Manchester city  Bernando Silva + Jamie Vardy (P 90+7) 90' + Baada ya Extra time

Penati: Leicester  4 -4 Manchester city
Leicester wamekosa penati mbili ikiwa ya Vardy na Mahrez.
Claudio Bravo akidaka ya Mahrez ya Vardy ikigonga mwamba mfumo wa ABB umetumika katika penati.

Manchester city imefanikiwa kuvuzu hatua hii mara 3 katika miaka 5 ya hivi karibuni wamenyakuwa mara moja kombe hili ikiwa dhidi ya Liverpool katika hatua ya fainali msimu mmoja uliopita.

Mainz 3-1 Stuttgart
Paderborn 1-0 Ingolstadt
Nürnberg 0-2 Wolfsburg (AET)

makala na Prosper Bartholomew
simu:/+255716243875
baruapepe (Email) : barthaprosper@gmail.com

Maoni