MATOKEO NA REKODI: BALE ATOA PUMZI KWA REAL MADRID,HOFFENHEIM YAZIDI KUKWEA, BAYERN YAKIMBIA ,SPURS YAANZA KURUDI ,LUKAKU AKUTANA NA MBOGA YAKE

MATOKEO YA MECHI ZOTE HAPA :

AL JAZIRA 1-2 REAL MADRID FT
Romalinho 41' 

Christiano Ronaldo 54'

Gareth Bale 81'

1 shuti kulenga golini 12

30 possession  60

HOFFENHEIM 1-0 VFB STUTTGART FT

Mark Uth

BAYER LEVERKUSEN  1  - 0  SV WERDEN BREMEN FT

Lucas Alario 11' (Leverkusen)

BAYERN MUNICH  1 -   0 FC KOLN
Lewandoski  amefunga goli la 15  msimu katika ligi kuu ujerumani

SWANSEA CITY 0  - 4 MANCHESTER CITY
B.Silva 26'
De bruyne 35'
D.Silva 53'
Kun Aquero 85'

Sasa klabu ya Man city imeshinda michezo 15 mfululizo na kupachika mabao 49 katika michezo hio

WEST HAM UNITED  0 - 0 ARSENAL FT

Arsenal imeshinda michezo 2 kati ya 8 ya ugenini iliyocheza hivi karibuni katika ligi kuu uingereza.

MANCHESTER UNITED 1 - 0 BOURNEMOUTH FT

Lukaku 25'

Kuanzia msimu wa 2016  -17 Lukaku kafunga magoli 30 katika mechi 38 alizocheza nje ya top 6.

Lukaku kafunga magoli 5 kwa dakika 114 alizocheza dhidi ya Bournemouth baada ya goli la kwanza akiwa Everton 4,United  1.

SOUTHAMPTOM  1-  4 LEICESTER CITY FT

Ryard Mahrez 11' (LEI)
Okazaki 32'(LEI) +70'
King 38' (LEI)
Yoshinda (SAU)

Claude Puel amewaonesha mabosi wake wa zamani walikose kumfukuza mwisho wa msimu uliopita baada ya kuwalaza kipigo cha mbwa mtu

Katika historia ya ligi kuu Uingerez ni mara ya kwanza Wajapani wawili wanafunga wakiwa wanachezea timu tofauti

NEWCASTLE  0 -  1 EVERTON FT
Wayne Rooney 27'

Rafa Benitez amepoteza michezo 7 kati ya nane ya hivi karibuni ikiwa mmoja wa nane alipata suluhu

Wayne Rooney amepiga mashuti 12 akilenga golini yameingia tisa na kuwa magoli kwa nahodha huyo msaidizi wa Everton .

HERTHA BERLIN 3 - 1 HANNOVER 96 FT

SCHALKE 04   3 - 2 AUSBURG  FT

LIVERPOOL 0-0 WEST BROM FT

SPURS    2  - 0 BRIGHTON & HOVE FT
AURIER
SON

Maoni