MARK CLATTENBURG ATEMA SIRI NZITO KUHUSU LIGI KUU UINGEREZA

Refa mstaafu Mark Clattenburg kasema kwamba katika pambano alilopichezesha kati ya Chelsea na Spurs mei 2016 Stamford Bridge alikua na mpango mathubuti wa kuhakikisha Spurs hachukui ubigwa
na alifanya ili kuhakikisha timu hizo zinatoa sare au Chelsea inashinda ikiwa siku moja baada ya Leicester kupata suluhu dhidi ya Manchester united wa bao 1 kwa 1 msimu wa 2015-16  aligawa kadi za njano 9 kwa wachezaji wa pande mbili na FA waligawa dozi nco kwa Dembele baada ya kuonesha vurugu refa huyu mwaka huo alichezesha fainali tatu kubwa ikiwa FA ,UCL,na EURO

Akafunga zaidi na kusema urefa wa waingereza ni tofauti na urefa wa sehemu nyingine ulaya ,marefa wa uingereza  wanasheria nyingi za kwao ambazo  sehemu nyingine duniani hawazitumii akasema yakuwa   "ninapokuwa nimeenda kuchezesha michezo ulaya na nabadilisha jinsi ya kuuchezesha mpira wakati husika kwani amna atakayekubaliana na wewe" mwamunzi huyo akiwa anaongelea juu ya maisha yake ya urefa barani ulaya anapokuwa nje ya uingereza .

Mark clatternburg pichani

Maoni