PREVIEW WEAKEND:MAN CITY KUWEKA REKODI,BARCELONA KUENDELEZA UBABE,BENZEMA KUTOMUACHA MTU SALAMA,LIVERPOOL KUFIKA 59, ROONEY KUFIKISHA 40 ,MATIC HATIHATI KESHO,NDOTO YA MOURHINO KUZIKWA RASMI KESHO
JUMAMOSI DECEMBA 2:
CHELSEA VC NEWCASTLE UNITED 15:00EAT:Chelsea wameshinda mechi tano kati ya sita walizocheza karibuni na wamepata suluhu moja. Newcastle amepata alama moja kwenye mechi nne alizocheza hivi karibuni. Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameanza kwa kukubali azabu aliyopewa na FA na ya refa ya kwenda majukuani katika mchezo wa jumatano usiku dhidi ya Swansea ,amesema ni vizuri kuwapumzusha wachezaji kwenye situation kama ilivyotokea na alifurahishwa na kitendo wachezaji wake wakichofanya kwenye mchezo wa jumatano usiku .Rafa Benitez anatarajia kukiteremsha kikosi chake kucheza dhidi ya Chelsea kesho mchana
LEICESTER CITY VC BURNLEY 18:00EAT: Jamie Vardy bado goli moja tu kufikisha idadi ya magoli 50 na kuwa mchezaji wa kwanza wa Leicester kufikishaidadi hiyo kwenye ligi kuu uingereza. Burnley inashika nafasi ya sita kwenye ligi ikiwa ina muelekeo mzuri ,Criss wood na Brady walisaidia kuipatia ushindi ugenini uwanjani Vitality pia walipata suluhu mwanzoni mwa ligi pamoja na ushindi Stamford bridge pamoja na suluhu Anfield . Burnley inatia hofu kwa mchezo wanaotumia 4-4-2 .
EVERTON VC HUDDERSFIELD 18:00EAT: Wayne Rooney atafikisha idadi ya timu arobaini ambazo amekutana nazo kwenye ligi kuu uingereza .Rooney amefunga klabu 36 kati ya 39 alizokutana nazo ameshidwa kuifunga klabu ya Manchester united, Blackpool, na Derby .kocha wa Huddersfield David Wagner amesema kila timu ligi kuu uingereza ni ngumu zaidi ya zile 22 za championship . Big Sam anasema alipata vibarua vingi lakini alipopata ya Everton ilimbidi akubali. Sam amewateua Craig Shakespeare ,Duncan Ferguson ,Sammy Lee kama wasaidizi wake
STOKE CITY VC SWANSEA CITY 18:00EAT: Stoke city wajawai fugwa na Swansea katika mechi 6 walizokutana nao hivi karibuni uwanjani bet 365 .Swansea ndo timu waliyoionea zaidi ya klabu yoyote wanapokuwa hapo. kocha wa Swansea Paul Clement amesema anaipenda klabu wachezaji na mashabiki wakati huu mambo yakienda kombo huko Wales kumekuwa na minunguniko mingi huko . kocha wa stoke city Mark Hughes ana cha kuwazia wachezaji atakaowakosa kesho ni kipa wake makini Buttland, na Cameroon kuhusu Choping-mating ni nusu nusu kuhusu baad ya enka kumsumbua
WATFORD VC SPURS 18:00EAT: Dele Alli amefunga magoli matatu na kutoa pasi ya bao moja katika mechi tatu aliizokutana na watford hivi karibuni.wajapishana alama Tottenham anashika nafasi ya saba wakati Watford nafasi ya nane
BRIGHTON &HOVE ALBINION VC LIVERPOOL. 18:00EAT: kocha wa Liverpool jurden klopp amekiri kukosekana kesho kwa Joel Matip , Mohhamed Salah amefunga mara 17 ikiwa zaidi ya wachezaji wote barani ulaya katika mashindano yote. uwanjani Amex utakuwa wa 57 Liverpool anatembelea kwenye ligi kuu uingereza na wamepata ushindi katika viwanja 52 wakivyovitembelea
WEST BROM VC CRYSTAL PALACE 18:00EAT: Alarn Perdew ajawai fugwa anapokuwa amepewa kibarua katika mchezo wake wa kwanza katika ligi kuu uingereza. Amefundisha klabu nne na mechi zake za kwanza ameshinda. kwenye mkutano na waandishi wa habari kocha wa crystal palace anaamini kuwa timu inaelekea juu zaidi ya akivyoikuta amesema mechi saba za mwisho tengia awe kocha wameweza kupata alama 9 katikq timu iliyokuwa na shida kwenye ufungaji kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya uingereza na klabu ya Fulham sikiliza kupitia link hii https://youtu.be/5MZTm33H-fw .kocha wa West brom Alarn Perdew anasema kwamba tengia Garry achukue timu kumekuwa na maendeleo hasa kwenye michezo miwili dhidi ya Spurs na Newcastle
ARSENAL VC MANCHESTER UNITED 20:30EAT:Arsenal anaweza kuweka rekodi ya kushinda mechi tatu mfululizo dhidi ya Manchester united kwa mara ya kwanza katika historia ya ligi kuu uingereza baina ya klabu hizo
kocha wa Manchester united amesema Nemanja Matic anaweza asicheze lakini atasafiri na timu hiyo kuelekea london, Erick Bailly pamoja na Phil Jones kwamba hawatakuwepo kwenye mchezo dhidi ya Arsenal ,Lacazette atacheza mchezo wa kesho
JUMAPILI DECEMBA 3
MANCHESTER CITY VC WEST HAM 19:00EAT: Sergio Kun Aquero amefunga magoli sita na amepika mengine mawili kwenye mechi 10 alizocheza dhidi ya West Ham ,Klabu ya Manchester city inaweza ikaifikia rekodi iliyowekwa na Arsenal na Chelsea msimu uliopita ya kushinda michezo 13 mfulilizo bila kupata suluhu au kufugwa . Ni klabu kati ya sita ambayo bado wajaonja uchungu wa kufugwa tengia msimu uanze katika ulaya mashindano yote ,Pep atafanyiwa mahojiano maalumu na FA kuhusu passionate aliyotumi kuonge na Nathan Redmond
Pep amesema alishidwa kujizuia na watu waelewe na anmshukuru kwa maoni ya Redmond na kama wananibishia tuvunje mkutano , kuhusu mkataba mpya kwa sterling ni kwamba ni kazi ya Txiki ,na anachofurahi ni kumkatalia Arsenal kwenye mauzo ya sterling kwani ni mdogo na ana matumaini
ATHLETIC BILBAO VC REAL MADRID (JUMAMOSI)23:45EAT: Valdere aliondoka klabuni hapo na kwenda Barcelona klabu hiyo ijawa vizuri licha ya kuwa na vipaji kama Inaki William ,aduriz wana shika nafasi ya 16 wakiwa na alama 13 katika michezo 13 , Real Madrid ni wanne kwenye ligi wamekusanya alama 27 tu msimu huu mechi ya mwisho walishinda kwa Malaga kwa mabao 3 kwa mawili tatizo kubwa lipo kwa golikipa wa timu hii, Karim Benzema amefunga mara 2 katika mechi 2 alizocheza San Menemes
FC BARCELONA VC RC CELTA (JUMAMOSI)14:00EAT
klabu ya Barcelona ijapoteza mchezo wowote mpaka sasa ikiwa imetoka suluhu michezo miwili na kushinda mingine yote.Akiwa nyumbani ajapoteza alama ata moja .Bado anaendelea kuikosa huduma ya Ousmane Dembele.Lionel Messi amepachika mabao 12 katika mechi 13 za ligi.Ana hatrick tatu msimu huu laliga zikiwa mbili na moja ya timu ya taifa . Kocha wa Barcelona Valverde amesema "jordi Alba na Messi wana maelewano mazuri .Jordi anajua jinsi ya kumpoteza mtu na Leo ana ona mbele" mechi dhidi ya Valencia maelewano mazuri baina ya Jordi na Messi yalionekana mpaka yakaza goli la kusawazisha dakika ya 82.
pia ameongeza akisema anamjua sana na amecheza na kocha wa Celta Unzue Barcelona na wanaahusiano mazuri na anafanya kazi nzuri. pia akaongezea kuhusu ubora wa Celta "kwa miaka michache Celta wamekuwa na matokeo mazuri hapa.Tunabidi tuliweke akilini" klabu ya Celta inashika nafasi ya tisa na alama 17 wakati Barcelona ana alama 35 na anaongoza ligi
GETAFE CF VC VALENCIA (JUMAPILI)17:15EAT. Valencia wamepata suluhu dhidi ya mchezo wao na Barcelona wikiendi iliyopita Goli lao likifugwa na Rodrigo Moreno. Simon Zaza muitaliano huyu ameifumania nyavu mara tisa nyuma ya kinara Messi kwa goli tatu tu.kocha wa Valencia Marcelino amesema " Tuna furaha sana na kikosi tulicho nacho" Getafe wanashika nafasi ya 12 na wana alama 16 kwenye ligi hiyo wakati Valencia anashika nafasi ya 2 na ana alama 31 nyuma ya kinara kwa alama 4 ,Rodrigo Moreno timu yake ya kwanza kuifunga kwenye laliga msimu wa 2014.
Maoni