MATOKEO YA DROO YA KOMBE LA DUNIA 2018

Makundi nane  ya fainali za kombe la dunia yametoka .Fainali hizo zinatarajiwa kuanza tarehe 14-06 2018 na fainali kuchezwa 15-06-2018 .

GROUP A:
Russia ,Uruguay,Saudi Arabia ,Misri

GROUP B:
Portugal ,Espanol,Iran ,Morroco

GROUP C:
France ,Peru ,Dernmark,Australia

GROUP D:
Argentine ,Croatia ,Iceland,Nigeria

GROUP E:
Brazil ,Uswizi,Costa Rica ,Serbia

GROUP F:
Germany ,Mexico ,Sweaden,Korea kusini

GROUP G:
Belgium ,England ,Tunisia ,Panama

GROUP H:
Poland,Colombia,Senegal,Japan

Mechi ya ufunguzi itachezwa kati ya Urusi dhidi Saudia Arabia inatarajiwa kuchezwa hapo tarehe 14 mwenzi wa sita 2018 uwanjani luzhinik .

Maoni