KOCHA ALIYEIPANDISHA SOUTHAMPTON SASA APEWA KIBARUA KIGUMU

klabu ya Hull city inafuraha kutangaza uteuzi wa Nigel Adkins kama kocha mkuu wa klabu hiyo .

kocha huyu akiyeipandisha klabu ya Sauthamptom  mwaka 2012 ameajiriwa pamoja na msaidizi wake
Adry Grosby kwa mkataba wa miezi 18 .

Alichukua klabu hiyo Sauthcoast  kutoka league one mpaka ligi kuu uingereza ana miaka 52

Maoni