KEYLOR NAVAS KAKIMBIZA CONCACAF.

Mlinda mlango wa klabu ya Real Madrid Keylor Navas ametunikiwa tuzo ya mchezaji bora na shirikisho la CONCACAF.

Juzi jumamosi alihakikisha klabu yake inatwaa taji la kombe la dunia kwa ngazi ya klabu , msimu ukiwa  unaanza alisaidia timu kunyakua taji la super cup nchini hispania  pamoja na uefa super cup .

Msimu uliopita alinyakuwa kombe la ligi ya mabigwa ulaya ikiwa mara mbili mfululizo .

Ndani ya mwaka huu unaoelekea kuzama 2017 aliisaidia timu yake ya Costa Rica kufuzu kombe la dunia.

Hii ni mara ya pili kwa golikipa kutwaa tu na kwake pia, kwan alitwa mara ya kwanza 2014  na 2016 kuitwa mlinzi bora wa CONCACAF.

makala na Prosper Bartholomew
simu /+255716243875.
barua pepe/ barthaprosper@gmail.com

Maoni