JOTO LA LEO: PAZIA KUBWA KWA MASHABIKI WA CHELSEA HILI HAPA

klabu ya Chelsea kila mtu ana presha Ila hawataki kuzionesha kwani ratiba inawapa joto nzito wakati kuna baridi si kawaida wanataka kusajili wachezaji wengi Januari ili presha ianze kuondoka kwao

Droo ya jumatatu ilikuwa si salama,

Nakupa siri iliyojificha kwa mashabiki hawaijui wanashabikia tu wanawazia Barcelona tu acha niwape siri minongono ipungue

Chelsea atacheza na Barcelona tarehe 20 Februari alaf siku tatu baadaye ataenda kumsalimia Mourhino namaana tarehe 24 atacheza na Manchester united alaf anauguzia maumivu tunamaliza pati one ya kibongo

Alaf Ikifika tarehe 3 machi anaenda kumsalimia Guardiola pale Etihad alaf anamalizia maumivu na Barcelona tarehe 14 machi.

Conte anajipa moyo na tunampa matumaini mema

makala na prosper Bartholomew
simu +255716243875
barua pepe:barthaprosper@gmail.com

Maoni