José Mourinho amesema ukilinganisha usajili wa klabu ya Manchester city na klabu yake kuna tofauti kubwa katika usajili .
Alisema Manchester city ina tumia hela ya kusajili washambuliaji katika kusajili mabeki .
"Tupo msimu wa pili tunajaribu kujenga timu , hiyo si miongoni mwa timu bora kabisa kwa sasa barani Ulaya , Man city wanasajili mabeki kama mastraika , ukiwa unaongelea klabu kubwa unaongelea historia ya klabu hiyo "
"sawa lakini haitoshi , bajeti za klabu kubwa ni zaidi ya klabu ndogo "
" kwa kawaida klabu kubwa zina adhibiwa katika soko la mauzo ya wachezaji " kwa sasa kocha huyu ametumia pauni zizisozidi 286-300 millioni katika usajili tengia atue klabuni hapo majira ya kiangazi 2016.
kuhusu dirisha la januari alihondoka kabda hajajibu swali hilo .
Jumamosi kufuatia suluhu alisema ulinzi wake unabidi utafisiriwe kwa kutumia "S" akisema magoli ya "S" akiacha tukiwa tuanafikiria neno gani.
Timu yake jana ilipata tena suluhu ya kutokea nyuma ya bao 2-0 mpaka 2-2 nyumbani Old Trafford ikiwa mashabiki wanalalamika kuhusu goli la kwanza ambapo Romelu Lukaku alishidwa kuondoa mpira wa adhabu mpaka Ashley Barnes alipofunga goli na goli nyingine lilikuwa ni la faulo liloingia moja kwa moja kwenye neti ya Defour .
Jese lingard akiwa amefunga magoli yote akiwa ameingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Ibrahimovic.
makala na Prosper Bartholomew.
simu:/+255716243875.
barua pepe (Email): barthaprosper@gmail.com.
Maoni