HAZARD GUMZO CHELSEA ATIA PRESHA

Kiungo mchezeshaji na mshambuliaji hatari barani Ulaya Mbeligiji Eden Hazard ametia hofu baada ya kukataa mazungumzo ya mkataba mpya klabuni Chelsea

Mkataba wa sasa unahisha katika majira ya joto 2020 ambapo kwa wiki anaingiza  mshaara wa pauni 200,000 kwa wiki

Mkataba mpya  chelsea wanataka wawe  wanamlipa pauni 340,000 pauni kwa wiki ambapo kwa mwaka anakuwa anapata mpunga wa 18 milioni euo

Anakataa mazungumzo ya mkataba mpya akisubiria ofa kutoka kwa  Real Madrid wanaokuwa wanamfuatilia kwa muda mrefu

Maoni