Chama cha soka Ulimwenguni FIFA kimetoa taarifa kama onyo kikisema Uchaguzi mkuu wa chama cha Hisapania (RFEF) kiwe huru kisiwe na muingiliano kutoka kwa serikali.
Chama cha Soka cha Hispania (RFEF) kiliwasiliana na Baraza la michezo nchini Baraza hilo likitaka kujua mchakato wa kumpata mrithi wa Angel Maria Villar aliyeondoka madarakani kutokana na madai ya rushwa.
FIFA wataiadhibu chama chochote cha Soka kama Serikali itaingilia majukumu ya shirikisho la nchi husika ,
Kama Hispania ikikubwa na tatizo hilo huenda wakatolewa kwenye kombe la Dunia 2018 na kupewa tiketi nchi nyingine
FIFA na UEFA watatuma wawakilishi kuangalia mchakato mzima wa RFEF utakaochukua ata FIFA wamedhiliki wakisema washatuma barua ya onyo kali litakalowakabiki kama hawatachukua tahadhari.
Makala na Prosper Barthalomew
simu/+255717243875
barua pepe (EMAIL):/barthaprosper@gmail.com
Maoni