FIFA KUIVAMIA BARCELONA ,BARTOMEU YOTE YAMUHUSU

Shirikisho la soka Duniani FIFA imetibitisha rasmi kupokea malalamiko kuhusu mazungumzo yaliyofanywa bila kutumia utaratibu mzuri wa usajili kwa mchezaji Antonio Graizemann.

Vyombo vya habari nchini Hispania vilishika kichwa kuhusu makutano baina ya wazazi wa mchezaji huyu Antonio Graizeman kukutana na Raisi wa Barcelona Jose Maria Bartomeu .

Wajina Bartomeu alikutana na wazazi wa staa huyu mfaransa kumshawishi wazazi wake wamshawishi staa huyu kujiunga nao

Klabu ya Barcelona inahaha kutafuta kuzipa pengo la Neymar aliyetimikia klabuni Paris SG katika majira ya joto aliyenunuliwa kuziba pengo hilo yuko majeruhi.

Graizemann anaweza cheza ata kama straika hasa wakati huu  Suarez kapunguza makali aliyokuwa nayo miaka ya karibuni kutokana na uchovu alio nao.

makala na mchambuzi Prosper Bartholomew.
simu:/+255716243875
barua pepe:/ barthaprosper@gmail.com

Maoni