BREAKING NEWS:FA WAMKUMBUSHA WAJIBU CONTE

Chama cha Soka nchini Uingereza FA imetaja rasmi azabu ya kocha wa Chelsea Antonio Conte atatakiwa kulipa kiasi cha pauni 8,000 kama faini.

Kocha huyu raia wa Italia alirusha maneno kutaka kona akilaaumu mpira ulimpita beki wa Swansea Marson na mwamuzi Adre Marriner kumuamuru aende jukwaani pale Novemba 29

Baada ya mchezo kocha huyu alikiri na kuomba radhi kwa kufanya kitendo kile cha kutaka kona na katika mahojiano na waandishi wa habari ijumaa kuelekea mchezo dhidi ya Newcastle aliomba na kukiri kuomba samaani.

Maoni