Kiungo wa Chelsea Mhispaniola Cesc Fabregas kafunguka na kusema kwamba ilimbidi kuvulia kuokoa maisha yake ya soka klabuni Chelsea ,Aidha ilimbidi kuhakikisha kocha Conte aone hayupo sahihi kwa kuwa hamtumii kiungo huyo
"nitakuwa kama nadanganya kama nikisema nilikuwa siogopi , labda kuogopa si neno husika ,Uwezi amini nlikuwa sichezi,siko kwenye mipango ya kocha hapo kuna vitu viwili ,kukubaliana na kujitambua uko nje ya mipango ya kocha na una maisha marefu klabuni au nilichokifanya kuvumilia utulivu nikajituma zaidi mazoezi zaidi kujituna kumuonesha hakuwepo sahihi " Fabregas alipokuwa kwenye pre conference
Aidha mchezaji huyu alianza michezo 4 msimu uliopita msimu huu amecheza dakika nyingi akiwa kama mchezaji wa 4 Chelsea alyetumika dakika nyingi nyuma ya Courtous , Azphiliqueta ,Alonso
"nachoweza kusema zaidi mahusiani yangu na Conte ni ya kusitaajabisha "
Kocha wa chelsea alifurahia na maongezi ya Fabregas na hisia zake alizozionesha pia Fabreagas ana mpango wa kumalizia maisha yake klabuni hapo baada ya kusema licha ya kubakisha mkataba wa mwaka mmoja na ana miaka 30 tu anataka kucheza zaidi klabuni hapo na ikiwezekana miaka mitano kilichobakia ni kazi ya Chelsea na anachokiangalia ni kuitumikia klabu hiyo.
Conte nae akafurahia zaidi baada ya kuonesha ana mpango wa kukaa klabuni na kuendelea kucheza miaka mingi zaidi
katika hatua nyingine mshabuliaji wa zamani wa klabu hiyo Diego Costa ajasafiri na klabu yake kaendelea kubaki Hispania
Maoni