TETESI ZA SOKA:MANCHESTER UNITED WAMTAKA KIUNGO MJERUMANI

Klabu ya Manchester united imeanza rasmi mbio za kumfuatilia ili kuinasa saini ya kiungo Mjerumani Leon Goretzka

Leon Goretzka anayekipigia klabu ya Schalke 04 ya ligi kuu ujerumani anaonekana kama kiungo mwenye sifa za kuzitumikia klabu kubwa kama Manchester united

Pia aliisaidia taifa la ujerumani kuchukua ubigwa wa kombe la mabara katika majira ya kiangazi mwaka huu, kwenye mchezo dhidi ya Mexico alifunga mara mbili na kuzidi kuzikosha timu kubwa pamoja na makocha

Maoni