Klabu ya Barcelona wanatarajia kuwaona tena uwanjani Ousmane Dembele pamoja na Rafinha waliokuwa wanauguzia majeraha ya muda mrefu.
Licha ya kikosi hiki kuwa kinaongoza kwa alama 8 kileleni mbele ya Atletico Madrid , 11 dhidi ya Valencia na 14 dhidi ya Real Madrid . Bado kinataka kuongeza makali zaidi kuwapa muda mrefu wa mapumziko kwa Lionel Messi na Adreas Iniesta .
Orodha ya mastaa waliotajwa klabuni hapo katika dirisha hili la baridi ni pamoja na Mesult Ozil ,Nabir Fekir , Max Meyer , Leon Geortezka , Alexandur Golovin .
Wakati orodha ya wanaondoka ikiwa Javier Masherano na Arda Turan .
Arthur na Graizeman wanaitajika klabuni hapo haswa katika majira ya kiangazi .
Wana mchezo katika ligi ya mabigwa ulaya dhidi ya Chelsea kutoka nchini Uingereza .
Licha ya mchezo huo wanakutana na RC Celta katika michuano ya Copa de rey .
Makala na Prosper Barthalomew
simu:/+255716243875.
barua pepe: (EMAIL) : barthaprosper@gmail.com
Maoni