Kocha wa klabu ya Chelsea Antonio Conte kasema haogopi timu yoyote licha ya maneno yanayosambaa mtandaoni kocha huyo raia wa italia akiwa msimu wa pili klabuni hapo na msimu wake wa kwanza na klabu katika michuano ya ulaya
Klabu ya Chelsea imemaliza ya pili kundini baada ya kupata suluhu ya bao 1-1 yaliyofugwa yote kipindi cha pili goli la kwanza lilifugwa na kichwa kupitia Saul Niguez na kusawazishwa na shuti Kali la Hazard lilodeflectiwa na Stefan savic .kutokana na suluhu na ushindi mwembamba kwa kichwa cha Diego Peroti kilichohakikisha Roma wanamaliza wa kwanza kundini baada ya ushindi dhidi ya Quarabag.
Roma wamemaliza na alama sawa na Chelsea Ila tofauti ya magoli ndo inamuweka Roma juu
" unapokuwa unaelekea stegi nyingine kwenye mashindano haya
lazima uwe umejiandaa kucheza timu bora na tunaweza tukakutana na PSG,Barcelona, au Beskitas tuko tayari kucheza dhidi yao"maneno ya conte
"Haya ni mashindano bora na tunataka tuwepo kwenye mashindano haya ata maahsimu wetu hawatataka kucheza dhidi yetu,tutaona kitakachotokea "akaendelea
"naumbuka ata kwenye mashindano ya EURO 2016 nkiwa na Italia nikiwa na timu ya taifa ya Italia,tulimaliza wa kwanza kundini na tulicheza dhidi ya Hispania tena Ujerumani na tungeshinda tungecheza dhidi ya Ufaransa" "Mara nyingine si wa lazima kumaliza wa kwanza na tumefika raundi nyingine tunabidi tuwe na furaha baada ya kuonesha shughuli pevu "
kwa suluhu ya klabu hii ina maana Chelsea anaweza akakutana na Barcelona au PSG au Beskitas endapo itamfunga Liverpool .
KWA MAONI:
makala na prosper
barua pepe:barthaprosper@gmail.com
namba za simu:+255716243875
Maoni