WEST BROMWICH ALBINION WAMTANGAZA KOCHA MPYA

Baada ya kumfukuza kazi  Tony Pulis   klabu ya West brom wameamua kumtangaza kocha mpya atakayechukua mikoba ya pulis alyefukuzwa wiki chache zilizopita baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa chelsea .

Alarn  Perdew ameibukia huko licha ya kukaribia mwaka tangu atimuliwe klabuni crystal palace . Anatarajia kuiongoza timu hiyo kwenye mechi ya wakiendi hiyo jana west brom walirudishiwa magoli 2 na kutoka sare ya 2-2_ na jumapili kutoa tena sare ya 1-1 baada ya kurudishiwa goli uwanjani Wembley

Maoni