TUONGEE MPIRA:GUARDIOLA AFUNGUKA KUHUSU REDMOND WAFANYA MAONGEZI ,MAN UNITED KUMPA MKATABA MSHAMBULIAJI WAKE
Kocha wa Manchester city Pep Guardiola akionekana kufanya mazungumzo na Mshambuliaji na kiungo wa Sauthamptom Nathan Redmond alipoulizwa alijibu akisema Redmond ni mchezaji mzuri na kiwango cha juu na alikuwa akiongea nae kuhusu kiwango chake wengi walishangazwa na maongezi ya baina yao wawili na alikiri kwamba ni shabiki wake.
David Unsworth amesema atafanya kazi chini ya kocha Sam allarydes na anajua watakuwa na mazungumzo mengi sana kuhusu timu na atapewa mipango ya timu . Sam alihuduria mechi hiyo na kuona ushindi wa bao 4-0 kabda ya kuanza rasmi kazi leo hii kipigo hicho ni cha aibu kwa kocha David Moyes aliyeshidwa kushinda Everton anapokuwa amerudi Goodson park .
klabu ya Manchester united inampango wa kumpa mkataba mpya mshambuliaji wa timu hiyo ambaye amerejea siku chache tu zilizopita baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu . Zltan Ibrahimovic bado ajapata mda wa kutosha wa kuonesha kiwango chake Romelu lukaku amekuwa akianza mbele ya mshambuliaji huyo . juzi usiku aliingia kwenye mechi yake ya 50 kama mchezaji wa Manchester united dakika ya 88 . anatarajiwa kuondoka na kikosi cha sweaden baada ya kufanikiwa kufuzu kombe la dunia 2018
Maoni