SPURS APIGWA , UNITED YASHINDA UGENINI,NEWCASTLE WEAPONEA CHUPU CHUPU

klabu ya Tottenham Hotspurs imeambulia kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa leicester city magoli yalifugwa na Jamie Vardy na Ryard Mahrez na lile la Hary Kane lakufutia machozi. katika michezo mitatu ya ligi hivi karibuni wamekusanya alama moja tu .

klabu ya Manchester united imeshinda ugenini mabao manne kwa mawili dhidi ya Watford . Manchester united iliongoza 3-0 mpaka mda wa  mapumziko Watford walirudisha mawili ikawa 2-3 na uzembe jese Lingard akakokota mpira kuanzia kati kati ya uwanja mpaka akafunga goli la nne ubao usomeke 2-4  Ashley Young alifunga mawili , martial moja na lingard kwao alifunga Trony Deeney na Doucaure . Dakika ya 88 ilishuhudia Zaltan Ibrahimovic akiitumikia Manchester united kwenye mchezo wake wa  50.

Newcastle united wamepata suluhu licha ya kuwa nyuma kwa bao 2 kwa 0 dhidi ya West brownich Albinion na kupata suluhu ya 2-2. Robson -kanu ,Field kwa west brom walitangulia kupata magoli na Clark alirudusha dakika ya 59 kabda ya  Evancy kajifunga

klabu ya Brighton & Hove Albinion wamepata suluhu ya 0-0 kutoka kwa Crystal palace uwanjani Amex mchezo ukiokuwa na patashika nyingi sana huku Hennessey wa  palace akitoa michomo mingi kuipa alama timu yake almaarufu kama Eagles

Maoni