SON -HEUNG MIN APATA ULAJI ASIA

Mshambuliaji na kiungo wa Spurs Son-Heung Min anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote kutokea Asia katika ligi kuu uingereza amepewa tuzo ya ASIA FOOTBALL CONFEDERATION INTERNATIONAL. tuzo hiyo inatolewa kwa mchezaji bora wa  bara la Asia.

Maoni