MICHAEL EMENELO APATA ULAJI MONACO

Mkurugenzi wa zamani wa michezo wa Chelsea Michael Emebelo kateuliwa kushikilia wadhifa huo klabu ya Monaco ya ufaransa , alikuwa mmoja kati ya watu wa karibu wa Abrahimovic Chelsea alijiuuzulu wadhifa huo wiki chache zilizopita. Emenelo amekaa siku 21 tu nje ya kazi kabda ajateuliwa huko Ufaransa

Maoni