MATUKIO:SEAN DYCHE ACHANGANYA MASHABIKI , DAVID SILVA MPAKA 2020

Mashabiki wa Burnley wamendelea kupata furaha na kushangilia kiwango ambacho timu yao imekuwa ikikionesha .klabu hiyo ilipata ushindi jana usiku dhidi ya Bournemouth ugenini kwa mabao 2 kwa 1 Criss Wood na Brady ndo walifunga na goli la kusawazisha lilifugwa na King . klabu hiyo inashika nafasi ya 6 ikiwa ipo juu ya klabu ya Spurs na Watford ina alama 25 na Liverpool ina alama 26 na Arsenal ya nne na alama 28

Mhispaniola David Silva ameridia na kuongeza mkataba wa kusalia klabuni Manchester city mpaka 2020. atakapotimiza miaka 10 klabuni hapo .Mchezaji huyo mwenye miaka 31 alipotua klabuni hapa alishinda kombe la FA ,na ameisadia timu hiyo kushinda ligi mwaka 2012 na 2014 kombe la ligi na kuwa muhimili mkubwa klabuni hapo.

Maoni