EVERTON WASAKA KUTAFUTA KOCHA ALLARYDES NA FONSECA

klabu ya Everton bado inazidi kumsaka mrithi wa Ronald koeman. Walianza kumtaka Sam Allarydes ambapo walishidwa kuelewana na kuamua kuachana nae Ila ripoti zimefichuka wamerejea tena kwa kocha huyo wa zamani wa Sunderland na Crystal palace licha ya hapo bado wanamtaka kocha wa  Shakhtar Donestic Paulo Fonseca. Kocha huyo alishinda mataji matatu na klabu hiyo msimu uliopita. Kwa sasa anaeishikilia klabu ni kocha wa zamani wa Everton chini ya miaka 23 David mwenye miaka 44

Maoni