Polisi kutoka Urusi wanatarajiwa kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kombe la dunia 2018 watakapoingia uwanjani old Trafford kwenye mchezo wa Manchester united na Manchester city wiki ijayo pia wameripotiwa wengine wataenda uwanjani Anfield.
Na goli la Wayne Rooney limefugwa kutoka yardi 58 bado ndani ya sehemu ya ulinzi wa timu yao hili ndo goli la umbali mrefu lilofugwa miaka ya karibuni kwenye ligi kuu uingereza jingine ni Charlie Adam tarehe 4-4-2015 dhidi ya chelsea.
Maoni