BIG SAM ALLARYDES RASMI EVERTON SASA

kocha wa  zamani wa Crystal palace,timu ya taifa ya uingereza,Sunderland  Sam Allarydes  almaarufu kama Big Sam amesaini na ameteuliwa kuitumikia klabu ya Everton mpaka majira ya kiangazi 2019. Jana usiku alishuudia timu yake ikisambaza kichapo kwa west ham mabao 4-0.

Maoni