Kocha wa Arsenal amesema wachezaji wake Alexis Sanchez na Mesult Ozil watabaki klabuni hapo hawataondoka dirisha la majira ya baridi januari Klabu za Manchester city na united wanawamendea wachezaji hao katika dirisha la januari.
Klabu ya Stoke city imemuongezea mkataba mshambuliaji Peter Crouch maana hiyo atasalia klabuni hapo mpaka mwaka 2019 katika majira ya kiangazi Ulaya.
Maoni