ANTONIO CONTE AFUNGUKA AOMBA RADHI , MARK HUGHES ALALAMIKA

kocha Muitaliano Antonio Conte ameomba msamaha kwa refa Neil Swarbrick baada ya kumtoa nje alipoanza kugomba kuhusu kona ambapo mpira ulimgusa au kumpita Mawson. Chelsea ilishinda na iko nyuma ya kinara Manchester city kwa tofauti ya alama 11. na Manchester united kwa alama 3.

Kocha wa Stoke city amesema kadi nyekundu ikitakiwa kutolewa kwa mlinda mlango wa Liverpool na nahodha wa mchezo huo Simon Mignolet kwa rafu aliyomchezea mshambuliaji wa stoke city Mame Biram Diouf . stoke alikumbana na kipigo cha bao 3 kwa sifuri

Maoni