Klabu ya manchester city imepata ushindi mnono kwa stoke city wa bao 7-2 huku bernando silva jesus-2,sane,silva akifunga goli lake la kwanza, chelsea imeendelea kupoteza kwa c.palace kwa bao 2-1 uwanjani selhust park, klabu ya Arsenal imepigwa kwa bao 2-1 , klabu ya Totenham ikipata bao moja kwa bila,manchester united wakitoana jashoya 0-0
Maoni