WEST HAM KIDEDEA ,JOE HART ANGALAU KAVUNJA REKODI ,LOIC REMY HAJAPOTEA HUKO SPAIN, ENGLAND WAPATA USHAURI KOMBE LA DUNIA
Huddersfield town wameambulia kipigo cha bao 2 kwa 0 kutoka kwa west ham uwanjani London ulikuwa mchezo wa kwanza west ham nyumbani goli la kwanza pasi ya ayew ilipomfikia Obiang, na fonte kumpa ayew nae kufunga .
Kipa wa zamani wa Manchester city amepata clean sheat yake ya kwanza katika mechi 23 alizocheza za ligi hajapata mechi yake ya kupata clean sheat ilikuwa Jan 8 mwaka huu akiwa Torino
Klabu ya Huddersfield town imekuwa klabu ya mwisho msimu huu kuruhusu goli baada ya kutumia dakika 342 kuruhusu goli
Adry Carroll amesema "mashabiki walikuwa wazuri walikuja na walikuwa nasi mwanzo mwisho"
Kocha bora wa mwenzi David Wagner amesema "tulihitaji haya matokeo ,tulikuwa kila sehemu wa pili , hatukuwa wazuri kwenye mpira" kocha wa Terriers ndo kafunguka na kusema hayo pia ameongezea "tunabidi tuwe wajanja (akili) na vizuri kwenye mpira ,tulijihusisha sehemu ambapo hapatukuhusu"
Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle united, Chelsea pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa luic Remy alikuwamo kwenye ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya malaga mechi hiyo ya jumatatu viera alifunga bao dakika ya 45 na kurudishwa na malaga kupitia Diego Gonzalez 48' na las palmas wakaongeza kupitia kwa Calleri kwa dakika ya 69 na loic Remy dakika ya 88 na ulikuwa ushindi wa kwanza wa las Palmas kwenye ligi
Adre Ayew amekuwa akihusishwa kwenye karibu kabisa mabao nne Kati ya mechi tano za hivi karibuni
Wachezaji wa uingereza England watashauriwa wasitumie WiFi network za uma ama mahotelini ili wasihakiwe mawasiliano yao
Maoni