WAGNER AFUNGUA ZAWADI ZA UKOCHA

Kocha wa Huddersfield town David Wagner ametunukiwa zawadi ya kocha bora wa mwezi baad ya kuanza na timu iliyopanda daraja kwa kushinda michezo 2 na suluhu 1 huku akiwa ajaruhusu timu yake kufugwa. Aliongoza vijana hawa wanaotumia jina la utani Kama terriers kupanda daraja katika playoff final kwa penati

Maoni