Klabu za ligi kuu uingereza zimepiga kura kuwa dirisha la usajili lifugwe alhamisi 5 mda wa uingereza kabda ya msimu kuanza. Pamoja kuwa kabda msimu kuanza dirisha la usajili lifugwe.
Makubaliano hayo pia yataruhusu uuzaji wa wachezaji katika ligi nyingine ila si ndani ya ligi kuu uingereza.
Pia hii itahusu tu ligi kuu uingereza ligi daraja la kwanza watajitegemea championship wanatarajia kuongelea jambo hilo mwishoni mwezi huu watakapokutana au ama EFL wataamua dirisha la January halitaathirika kwa chochote.Dirisha litafugwa alhamisi 9 mwezi wa nane 2018 ,
Maoni