UCL WATOA LISTI YAO,KANTE AONGEA SASA

Uefa wametangaza listi ya marefa huku Skomina akipewa kisu cha kuchinja Kati ya Barcelona na juventus mchezo utakaopigwa kunako dimbani Nou camp

Kiungo wa Chelsea si alipachika bao maridadi juzi haya maneno yake" lilikuwa goli nzuri na muhimu kwenye timu na furaha kuisaidia timu ikashinda " aliichezea Foxex kabda kujiunga na Chelsea pia staa huyo wa ufaransa na mchezaji bora wa msimu anasifika kwa ukabaji wake ameshinda mataji 2 ya pl kwa misimu mfululizo na timu yake ya tatu nyuma ya Manchester city na united kwa pointi 1

Maoni