UCL: LIGI YA MABIGWA KEY FACTORS ZA KUJUA

Klabu kutoka ujerumani RB Leipzg inatarajiwa kushiriki michuano hiyo kwa mara ya kwanza katika historia yao mjini leipzg uwanjani red bulls
Klabu hiyo ikianzishwa mwaka 2009 na ilishika nafasi ya 2 msimu uliopita kwenye bundesliga itamenyana dhidi ya Monaco

Klabu ya Feneyood mda uliopita Vijana wake wamepokea kipigo cha bao 2 kutoka kwa vijana wa Manchester city . klabu ya feneryood bigwa huyo wa ligi kuu uholanzi wamerejea kwenye uefa makundi baada ya miaka 15 watakipigana na Manchester city jioni hii huko Rothardon

Klabu ya Totenham imekusanya pointi moja tu Kati ya michezo mitatu ya mwisho dimbani Wembley  leo wanatarajia kumenyana na Dortmund ya ujerumani iliyoshika nafasi ya tatu

Marcos Ansensio anatarajiwa kukosekana katika mchezo dhidi ya Real Madrid dhidi ya Apoel

Liverpool na Sevilla  mara ya mwisho kukutana ni kwenye Europe league fainali walishinda kwa mabao matatu kwa moja liverpool iliongoza mpaka kipindi cha pili uwanjani st jacobo  Leo wanatarajia kukutana tena

Maoni