Kocha wa klabu ya Arsenal kasema kwamba anapenda wachezaji wake 'napenda wachezaji wangu ,nawaamini pia ' mfaransa huyu anaekaribisha Bournemouth wikiendi hii emirates amepoteza mechi 2 mfululizo pamoja na kushinda ile ya ufunguzi dhidi ya leicester city
Katibu mkuu kiongozi wa mpira NORMAN ARENDSE kasema SAFA hawawezi wakakubali kurudia mchezo Kati Senegal Kama FIFA walivyoamuru
Klabu ya sporting iko tayari kufungua kesi ama kuishitaki klabu ya West ham united dhidi ya kumtaka bila kutumia njia inayoitajika kwa mchezaji willy carvalnho
Charles Daniels ameongeza mkataba wa miaka mitatu katika klabu ya Bournemouth mchezaji huyo aliifungia bao la kuongoza katika kichapo cha mbili kwa moja
Zabaleta amesema 'pointi ambazo unakusanya katika uwanja wa nyumbani zitaangalia na kwenda nazo msimu mzima na utakachokifanya msimu huo ' mchezaji huyu anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani nyumatatu hii.
Maoni