Mshambuliaji raia wa Argentina na Manchester city anatarajiwa kuvunja rekodi ya Eric Brook ya ufungaji ndani ya klabu hiyo kwa sasa ana magoli 175 wakati Brook anayo 177
Aquero ameichezea kwa mafanikio Manchester city akitwaa baadhi ya mataji ligi kuu uingereza,kombe la ligi
Maoni