ROONEY APATA RUNGU JINGINE,ILA HILI KUBWA

Mshambuliaji wa Everton na Nahodha wa zamani wa Uingereza na Manchester united kahukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili pamoja na kutopewa mshaara wowote kwa masaa 100 baada ya kukutwa akiendesha gari akiwa mlevi

Maoni