REFA WA KIKE KATI KESHO UJERUMANI, OFA ZATOLEWA

Mjerumani BIBIANA STEINHAUS atakuwa refa wa kwanza wa jinsia ya kike kuongoz mchezo katika ligi ya bundesliga mechi hiyo ni Kati ya HERTHA BERLIN na WERDEN BREMEN .klabu ya hertha berlin imetoa nafasi za bure kwa wanawake

Maoni