PREVIEW; WIKIENDI

STOKE MAN UTD - Ryan showcross ataukosa mchezo huu, "Kevin wimmer anaonekana Kama ana ndoto kubwa katika maisha yake ya Soka umri wa miaka 24.Ana endelea kuimarika na ana ufundi mwingi " Mark Hughes .J.Mourhino anasema "lilikuwa soko nzuri kipindi hiki cha majira ya joto' tulifanya vizuri tulifanya kwa mda  Hamna mabadiliko popote" 

MAN CITY LIVERPOOL- PEP GUARDIOLA  "nmeumia naltamani angekuwa anauwezo wa kua vizuri kesho " Vincent kompany anatarajiwa kukosa mchezo wa kesho  pia ameongeza "kila napocheza dhidi ya Jurden najifunza makocha bora,wachezaji bora, na klabu kubwa utakuwa mda mzuri"  pia ameongea kuhusu Rehem sterling kuwa " Arsenal walitaka niwape Reheem waliongea na mimi nikawaambia amna nafasi, nafasi ni sifuri"    jurden klopp akiwa na Liverpool Kati ya michezo 22 aliyocheza dhidi ya klabu juu ya nafasi ya 7 msimu uliopita ameshinda mara zote akipoteza mara moja tu. J.K "unapotaka kuongea  kuhusu mchezo unaweza sema chochote lakini utaondoka au unaweza ondoka" pia amethibitisha kuwa "Philip countinho yuko vizuri kwenye mudi lakini hayuko kwenye kikosi cha kuchuana Manchester city"

ARSEN BOURN - E.H " lewis cook ana kipaji kizuri cha kucheza na muhimu katika ndoto zetu nlfurahishwa nae kwenye udhaifu tulisimama wote" na imani Tunaweza tukaonesha ule moto dhidi ya Manchester city na tutapata matokeo Bournemouth bado ijapata alama yoyote pia Simon Francis anatarajiwa kurudi katika mchezo wa Arsenal

BRIGHTON WBA- Tony pulis anakiri ni muhimu kumbakisha Jonny Evanc nafuraha kuwa amebaki tuna wachezaji wapya wawili krychowiak na Gibbs wajacheza mda mrefu nabidi niwaamulie  Brighton alipata alama yake ya kwanza point 1 huku west brom ina point 6

BURNLY C.PALACE- kocha Frankie de Boers ajapata alama yoyote na huenda akawa katika hatua mbaya Kama akipoteza tena mchezo huu " kuna uwepo wa Sakho  ana furaha kuwa hapa na ashakuwepo na umuhimu na nguvu kwenye nyasi na vyumba vya kubadilisha nguo" katika klabu tunabidi tujue washawai cheza vizuri na Wana maamuzi mengi kujua kucheza na sisi twaweza Fanya hivyo"  kijana Ruben lotfus cheek atarejea uwanjani kesho pia Sean D. Anefananua kwa nini klabu ilikataa kuafikia Kama klabu nyingine zilivyotaka dirisha lifugwe wao wanaamini hii itakuwa ni biashara walitaka wote Kama ulaya waafikie  pia Criss wood ana imani ya kuanza vyema uwanjani Turf moon

TOTE EVE- M.pochetino ameshidwa kushinda uwanjani Wembley anatarajiwa kuwasaka toffes wikiendi hii uwanjani Goodson park na amemuonya sergie Aurier kuhusu heshima klabuni Totenham. Mara ya mwisho kukutana Goodson park walitoka  suluhu ya 1-1 mirralas na lamela

LEICESTER CHELSEA- C.S " ibora Vincent's yuko vile vile .anafanya mazoezi na sisi amna hasara ya Matibabu" inawezekana ikawa karibu zaidi kesho " ameongeza  Leicester city imeshinda mara moja na kupoteza mara mbili msimu huu
A.CONTE anesema michezo ya kimataifa ilikuwa vizuri kwa Chelsea na imemruhusu mwenyewe kufanya kazi na kikosi ameongeza kwenye Hazard E. Nliongea na Roberto  Martinez na amejitahidi kwa njia moja kuendeleza  kipaji chake' Nilikuwa na furaha" Niliangalia michezo yao iliyopita wana nguvu na wako vizuri  nawaangalia " tunamichezo 7 Kati siku 21

Kocha wa Barcelona atakutana na mpinzani mwenzake Cataluna Espanol dimbani comp nou.  Valderi amesema Dembele anazidi kuwa na kiwango bora zaidi na zaidi pia "tunachoangalia ni kushinda mashabiki na wafurahi wakiwa wanatoka camp nou" timu ni nzuri duniani na tutapambana kufanya kila kitu " aliongeza  "niliuliza kwa klabu kutouza mchezaji yoyote na walifanya hivyo na hicho kimenisafisha " Diego simeone ameongeza baada ya kusaini mkataba. SWANSEA NEWCASTLE- Kwa sababu Rafa benitez ndo ametoka kwenye operesheni kocha msaidizi Paco alikuwa kwenye mkutano na waandishi amesema  Swansea ni timu kubwa ina nguvu Newcastle imeshinda mechi 1 na kupoteza miwili Swansea pia itatambulisha uwepo wa Renato Sanchez na Wilfred Bony alyerejea klabuni kwake pia Swansea imedroo moja imepoteza moja imeshinda moja .  SAUTHA WATFO- Mourciano alipata suluhu ya 0 kwa 0 uwanjani John Smith  alishinda 3 kwa 2 dhidi ya  west ham na suluhu nyingine  Watford suluhu mbili dhidi ya Liverpool na Brighton na kushinda dhidi ya Bournemouth  HUDDE WEST HAM- kocha slaven Billic  bado hali ni ngumu baada ya kupoteza michezo mitatu ya ugenini anawazia kuhusu uwanja wa nyumbani Huddersfield town inazidi kushika kasi baada ya kutoruhusu goli lolote wavuni ikiwa imeshinda mara 2 na suluhu 1 na kocha Wagner amepata tuzo ya kocha bora 

Tukutane tena katika makala ya preview weekend

Maoni