PREVIEW :WEAKEND

/EVERMUN Ronarld koeman amesema "kila mtu anajua Rooney alkuwa mchezaji wa manchester united, kwa sasa ni mchezaji wa everton" "ni mda kwa wachezaji wakubwa kuendelea .na imani wanaweza Fanya kitu "
Mourhino amesema "amejiunga  kwa mda mwafaka katika maisha ya soka " akaongeza pia "anacheza vyema timu  inacheza vizuri kuna  uelewano kwenye timu " kuhusu lukaku ; ? EFC ina  wachezaji wengi wazuri wana timu nzuri itakuwa tofauti kwetu"  kuhusu majeruhi ameongeza Luke shaw kapona na atakuwa fiti kurejea uwanjani  Marcos Roja anakaa nje kwa mda mdogo ana hitaji miezi kadhaa
Manchester united aneshinda mara tatu na suluhu moja amefunga magoli 12 na kuruhusu mawili mchezo wa mwisho alitoka suluhu ya 2-2 dhidi ya stoke city , Romelu Lukaku amefunga mara  4 zaidi ya mchezaji yoyote ligi humo.Rashford amefunga mara  2 katika mechi 2 za karibuni ,mkhtarian amezaa mabao 5 katika mechi nne licha ya lukaku aliyompa na kukosa bao na kurudia kufunga ......Wayne Rooney amefunga Mara mbili zote akiwa alama wakali hao wa Liverpool , Everton amepigwa mechi mbili za karibuni jumla mabao matano ametoa suluhu mjini Manchester city na kushinda moja dhidi ya stoke city nyumbani .

/C.PALACE SOUTHAMPTON .....-Roy hodgson anatarajiwa kuongoza timu yake  kwa mara  ya kwanza uwanjani selhust park anatarajia kupata huduma ya Sakho alyeitumikia klabu hiyo kwa mkopo January msimu uliopita  na kuiokoa timu hiyo kutoshuka daraja Palace wajafunga goli  lolote msimu huu . Sauthamptom kashinda mara  moja na kutoa suluhu Mara tatu  kupoteza wiki iliyopita kutokana na udhaifu wa Forster

/WATFORD MAN CITY - Watford ana pointi  nane  akiwa ajapoteza man city ina  point kumi  nae ajapoteza Marco Silva ataiongoza timu yake  katika uwanja wa vicarage road . ametoa suluhu na liverpool na Brighton na Hove Albinion
ukiwa uwanja wa nyumbani ajapata ushindi bali  suluhu 

/WBA WHA  west brown aliambulia kipigo kikali juzi ugenini Amex kwa mabao 3 kwa 1 , pia klabu hiyo imeshinda mara  mbili na suluhu 1 mechi ya mwisho dhidi ya west ham waliambulia suluhu , west ham waneshinda mchezo wa juzi tu michezo yote ya ugenini wamepoteza kesho watateremka dimbani hawathorn kupambana dhidi ya Baggies . washika nyundo hao walishinda mabao 2 kwa sifuri dhidi ya Huddersfield town

/NEW UTD STOKE - Newcastle united inatarajia kuwa na kocha wao Rafa Benitez baada ya kuwa na operesheni na kukosa mechi ya swansea licha ya kusinda bao 1 kwa 0 ugenini . Newcastle iliteseka sana katika mechi za kwanza Ila wanaonekana washazoe kupambana na ligi kuu uingereza . stoke ilionesha kiwango safi baada ya kupata suluhu dhidi ya united alimfunga pia Arsenal matokeo hayo yote mazuri yalipatikana kutokana kuwa nyumbani ugenini si  mzuri kivile ila vijana wa Mark Hughes wanafanya vyema ukiunganisha Zouma Kevin Werner Cameroon jese na choupo mating

/LIVER BURN -Liverpool walipoteza mchezo wao wikiendi iliyopita kwa mabao 5 kwa sifuri kesho wanatarajia kumkosa Sadio mane
na kuna uwezekano mkubwa wa Phil countinho kuwepo kesho uwanjani .Liverpool alishinda kwa 2-1 mchezo wake wa mwisho dhidi ya  Burnley . Criss wood amefunga mechi mbili tangia ajiunge na hiyo timu  akifunga la kusawazisha dhidi ya Totenham na la ushindi na pekee dhidi ya  Palace  ameshinda ugenini dhidi ya Chelsea kocha Sean Dyche amezidi kuikimarisha kikosi hiki na kutamba na kuwa kigumu na kizudi zaidi na zaidi

/HUDD LEI - Kocha David  Wagner alikiri kikosi chake kilihitaji kupokea kile  kipigo maana walicheza chini ya kiwango wakiwa John smith dimbani hawana la  kuhofia kwani uwanja wao umekuwa ukiwabeba timu hii ina  combination safi kati ya Aaron mooy na steve mounie na wanatoa raha kwa mashabiki kwa Soka wanalocheza - Leicester ameshindi mchezo mmoja kati ya michezo minne aliyocheza , amefunga mabao 6 amekuwa dhaifu kwenye upande wa ulinzi tu kwenye ushambuliaji bado ana raha kelechi iheanacho anatarajiwa kuanza mchezo wa kesho Graig  shakesphere anaonekana ana alama nyingi za kuutwaa mchezo huu

/TOT SWAN - Spurs walibahatika kushinda mchezo wake Wembley juzi dhidi ya Dortmund ana kibarua kumkubali mkali wa Wales pia ana uhakika wa kuwatumia aurier pia  Hary  Kane kashamaliza mwezi wake wa kutofunga na anatarajia kuendelea kuadhibu wavu , pia alikuwa mchezaji wa 70 kuifungia spurs mabao 100  huku akifunga magoli manne tayari ndani ya wiki moja atapata huduma safi kwa erikisen na son nae hakuwa mbali kwenye Uefa akifunga dele Ali ndo anekuwa mtamu kuisaidia Tottenham kupata ushindi , mchango mkubwa zaidi wa Been Davies amekuwa kwenye wakati mzuri akiokota alama nyingi zaidi za kiuchezaji - Swansea atawatumia zaidi Renato Sanchez ambapo lugha inazidi kuwa shida na anategemea pia kumtumia mchezaji Wilfred Bony wakati huu aliporejea klabuni hapo licha ya kupoteza kwa bao moja pia Jordan Ayew anazidi kuwa mtamu hapo pamoja na Tammy Abraham anayeitumikia klabu hiyo kwa mkopo wake

/CHE ARS - Danny Drinkwater atakuwa nje mpaka mwezi wa 10 huku Conte amekaririwa hajali mshambuliaji wake anafungaje . pia ameongeza kuhusu Hazard akikiri kurejea kwenye mchezo wa jumapili . Chelsea imeonesha uwezo chanya kuwa msimu uliopita hawakubahatisha baada ya ushindi mfululizo wa mechi tatu licha ya kupoteza ule wa kwanza wa msimu akifunga magoli akifunga magoli nane  na kuruhusu  magoli 7  kwenye michezo yake Arsenal hajawai shinda Mara tano  walipokutana na Chelsea Stamford bridge chini ya kocha Arsenal Wenger .Conte ana imani ya kumaliza na wachezaji 11,  Arsenal alishinda kwa mabao matatu dhidi ya Bournemouth na kutowatumia Alex Sanchez kipindi cha kwanza na Danny welbeck na lacazete wakipewa nafasi  Arsenal Wenger ameshinda michezo 2 na kupoteza miwili akifunga magoli 7 na kuruhusu 8 msimu huu amepoteza michezo yote  aliyecheza ugenini.

Maoni