Imeripotiwa kuwa Wembley ina vyoo 2,618 na idadi ya vyoo vingi duniani kwenye jengo moja uwanja huo unaotumiwa na Spurs kama uwanja wa nyumbani ni uwanja wa taifa la uingereza.
Baada ya maumivu ya msuli katika mchezo wa jumanne dhidi ya Basel pobga anatarajiwa kuukosa uwanja kwa takribani wiki 6 Jose Mourhino alisema mtu akiumia vile lazima ataukosa uwanja kwa wiki kadhaa
Frank lampard kasema kwamba Chelsea watafika mbali kwenye ligi ya mabigwa msimu huu .
"nimekuwa natumia kichwa kufunga na kusaidia mabao na imani ya kutumia mguu hivi karibuni" Alvaro Morata amesema hivyo
Maoni