PALACE KUTANGAZA MRITHI WA DE BOER'S NDANI YA SAA 24

Klabu ya C.Palace inatarajia kumtangaza mrithi wa kocha wao alyeitumikia klabu hiyo kwa siku 77 na mechi 4 za ligi Frankie de Boer's .anayeongozwa kutajwa ni Roy Hodgson .klabu imethibitisha kumtangaza kocha huyo ndani au mwingine ndani ya masaa 24

Maoni