MSIMAMO WA LIGI KUU UINGEREZA WATOKA

Baada ya roundi ya nne kuna timu mbili hazina alama pia timu mbili zina point sawa tofauti ya magoli ....kila timu ineruhusu goli amna timu ambayo ijaruhusu goli .....wafungaji kina lukaku morata bado moto G.Jesus pia

Kila timu imevuna kinachopanda kocha mmoja kashapoteza kibarua FRANKIE DE BOER'S

Maoni