FT: STOKE CITY 2- 2 MANCHESTER UNITED

Commententor: barthaprosper
MUDA:1:30 Usiku

03' jese anachukua mpira mrefu uliopigwa na burtland anashidwa kuunganisha kidogo

22' mpira unapigwa kwa Rashford na Burtland anazuia kwa nguvu inakuwa attempt Kali kubwa

26+28' shaqiri anapiga shuti Kali kulia mwa goli ila De gea anayafuta mashuti hayo hatari kabisa

42'  fletcher anaupiga mpira kushoto unamkuta zouma piga grosi safi kabisa katikati kwenye boksi na kumkuta  choupo-mating aliyounganisha ndani Degea alkuwa ana cha kufanya

45+1 mkhtarian amepiga kona safi grosi ikamsugua mkhtarian deflection kati ya pobga na mkhtarian

45 mabadiliko Cameroon⬇⬆martins Indi

58' mkhtarian anatoa assisti yake ya 6 lukaku anapiga anakosa anarudia na kushinda

62' kona safi ya shaqiri inamkuta choping mating anayeunganisha na kusawazisha ubao unasomeka 2-2

Eric maxim choping mating ametumia dakika 60 tu kufunga mabao 2 wakati msimu uliopita alitumia msimu mzima kufunga bao 3

Maoni