FT: MATOKEO NA WAFUNGAJI MECHI 5 ZA PL

Commententor: barthaprosper
MUDA :11:00 jioni
Mechi:  ARSENAL 3-0BOURNEMOUTH. Welbeck 6' 50' Lacazette 27'
Mechi:  BRIGHTON & HOVE ALBINION 3- 1 WEST BROM ALBINION Gross 45'48' Hemed 63' marrison 77'
Mechi:  EVERTON 0 -3 TOTENHAM HOTSPURS  Kane 28' 46' erikisen 42'
Mechi:  LEICESTER CITY 1-2 CHELSEA  Vardy 62' morata 41' kante 50'
Mechi:  SOUTHAMPTON 0-2 WATFORD Douccare 38' jannammart 66'

ARSENAL BOURNEMOUTH .... 6' DANNY WELBECK amefugwa kwa kichwa baada ya kolasanic kupiga krosi safi kabisa 1-0 ikamkuta katikati ya boksi na mpira kuelekea kushoto mwa boksi
27' danny welbeck anampa pasi nje ya boksi Alexander lacazette na kugeuka na kupig shuti la pili kwa msimu kwa mfaransa 49' welbeck anafunga goli la pili kushoto mwa boksi anapiga shuti na begovic anaukosa
EVER TOT-28' kutokana na kona kierian Trippler anampa Hary Kane anaepiga shuti kali mbali sana na kufunga goli la kwanza la msimu 42' erksen anatumia vizuri uzembe uliofanywa na mabeki na kuwa 2-0 46' Kane anaunganisha grosi na kufunga

SOUTHAMPTON WATFORD
38' Doukare anaachia shuti Kali kabisa na kutoka yadi 25 nje Forster anaukosa
66' Jannammart anafunga goli kwa shuti Kali kutoka nje ya boksi na Forster anashidwa kuzuia
LEICESTER CHELSEA mkali wa vichwa anaendelea baada ya grosi kuachiwa kutoka Julia mwa uwanja anaunganisha ndani  MORATA 41' 48' Ngolo kante anafunga kutoka umbali mrefu na schachmel anaushidwa kuushika mpira 61' Jamie Vardy ameletwa chini na Thibout courtous ambapo refa anaamuru penaty na inapigwa na Vardy  inakuwa 2-1 katikati ya goli

BRIGHTON WEST BROM  44' PASCAL GROSS anatumia akili kufungia goli timu iliyopanda daraja na inakuwa bao 1-0 47' pascal anapiga shuti mbali na kupachika bao ,62' HEMED anapata nafasi ya kuitanguliza Brighton kwa magoli matatu kwa sifuri
77' James marrson anaunganisha  pasi ya kichwa baada ya grosi kutokea kushoto na anabadilisha ubao usomeke 3-1

Maoni