Commententor: barthaprosper
MUDA: 14:30 mchana
M.Salah anapata faulo nje kidogo ya boxi otamendi 🔶 na anapata kadi ya njano 05'
12' shuti Kali kabisa limepigwa na fernandinho mignolet anaucheza vyema mpira ule
19' Kelvin de bruyne ameletwa chini kushoto mwa boksi na Alexander -Arnold na amelabwa kadi ya njano 🔶
24' uzembe henderson mpira ukampata de bruyne na kumpa through na kumkuta kun Aguero aliyepeleka mpira na kumfinya mignolet na kuusukumia wavuni
27' mpira wa sadio mane alyeletwa nje kidogo ya boksi na fernandinho na amepewa kadi ya njano 🔶
30' mpira safi aliopewa na sadio mane M.Salah anashidwa kumalizia anauleta ndani ya boksi mpira unamkuta ederson
33' uzembe wa klavan unampa nagasi kubwa Jesus kuleta mpira kwenye boksi na kutafuta nafasi na mignolet anautoa mpira unakua kona kona inapigwa mpira unamkuta stones ambapo mguu wa mignolet unatoa na kuokoa goli
36' SADIO MANE anagongana na EDERSON golikipa wa man city Jonathan Moss anaumua kumwadhibu kwa kumpa kadi nyekundu
45+1 mabadiliko :EDERSON ⬇⬆ BRAVO
45+3 G.Jesus anafunga refa anaamuru ni kaotea
45+5 Grosi safi kutokea upande wa De Bruyne na inakutoa goli la pili baada ya kichwa safi cha G.Jesus anafunga inakuwa 2-0
Mapumziko HALF TIME MCI 2-0 LFC
M.SALAH ⬇⬆A.CHERMBERLAIN
52' Henderson anarudia kosa lile mpira unamkuta fernandinho na inapigwa through kwa Aguero aguero anampa Jesus na anaunganisha inakuwa 3 kwa 0
56' G.JESUS ⬇⬆SANE
57' WIJNDNARM ⬇⬆MILNER
66' FIRMINO ⬇⬆SOLANKE
70' OTAMENDI⬇⬆ MANGALA
76' mpira unamfikia sane anatoa kwa Mendy anawai mpira unamfikia na Sane anaunganisha kulia mwa mignolet anashidwa kuzuia
81 Emre can🔶
91' Kyle walker kampa pasi Leroy sane alyechukua pasi na kutafuta sehemu na kuchia shuti Kali na kuweka ubao usomeke tano difuri
Maoni