Baada ya mechi za Jana zimekamilisha mzunguko wa nne
Je unadhani kadi nyekundu ya Sadio Mane itafutwa usikose Liverpool amekata rufaa
Steve Parish alikuwa ashaanza kumtafutia mrithi Frankie de boers Ian Wright ana imani si kocha mbovu bali kuna matatizo na wachezaji ama ndani ya klabu yenyewe
Maoni