LIVERPOOL WAFUNGUKA

Liverpool wamekata rufaa juu ya mchezaji wao Sadio Mane baada ya kuwa amefungiwa mechi tatu .kuhusu red card ya msenegal huyo ilikuwa ikijadiliwa Sana mitandaoni ikionekana Kama azabu kubwa aliyotoa mwamunzi Jonathan Moss

Maoni